Mungu Wetu, Mwenye uweza wote, Tunakuimamia, Mtawala wa Kila kilichopo, Tunakupa sifa wewe Twa kwabudu Yesu, Twakuinua Yesu, Wema wako, Fadhili zako, Huruma zako, Uweza wako, Yesu, wee wa pekee
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"