Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Paul Clement

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video )

  Utukuzwe wewe uwezaye kufanya, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo....

Your Glory | Angel Benard and Paul Clement | Lyrics

We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona utukufu Tumeona nguvu zako Tunakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Tunakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Twakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Twakuinua Utukufu wote ni wako You made a way  Where there seems to be no way We lift You higher  All the glory belongs to You Lord, you broke the chain I couldn't do it by myself We lift You higher  All the glory belongs to You See what you've done You gave meaning to my life We lift You higher  All the glory belongs to You Unakwenda na mimi Yesu Hatua hatua m...

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video ) | Lyrics

  Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Amenijibu zaidi ya vile nivyo muomba Nimemuomba Kazi amenipa na ndoa Nimemuomba watoto amenipa na gari Huyu yesu anazidi kuninyeshea mvua ya baraka eh (Chants) Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Nii Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Yeye aliye ia—nzisha safari Ataimaliza,yeye mwenye...