Nitaishi aje kama mtu Asiyekujuwa Usikubali Na wakati wangu ukifika Uniite nyumbani Kama hodari Na shetani akiomba ruhusa Aniangamize Usikubali Na shetani akiomba ruhusa Anikandamize Usikubali Chorus Usikubali Usikubali Siogopi kifo Naogopa kufa na sikujui Siogopi moto Sio wangu moto ni wa aadui Nimependwa na Baba Baba ah Alinifia Mwana Mwana ah Nimejazwa na Roho Roho oh Baba, Mwana, Roho
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"