Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Swahili song

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video )

  Utukuzwe wewe uwezaye kufanya, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo....

Neema Gospel Choir - Victory Declaration (Live Music Video)

  Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwe...

Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video) | Song Lyrics

Oh Baba Olodumare, My one and the only, The giver of Life, Equal to none  Hapa nasimama cos uko na mimi You never let me go Mipaka yangu umeitanulia mbali Even sky sio limit kwa hii kibali Hata haters wanashangilia  Kwa ndani umewa‘win’ hao! Sina kingine mimi najivunia zaidi yako Baba Ndio maana niko tuli nimetulia, we hunaga baya Hata wale wananionea husuda shabaha yao mbaya Watanipataje Mwamba umenifunika Bure wata‘tire’ Cos I know you You got me wey You got me You got me wey You got me Papa You got me wey You got me That’s why I never, never, never fall down You got me wey You got me You got me wey You got me Papa You got me wey You got me That’s why I never, never, never fall down Nikiteleza Baba unaniinua Hujanitupa wala hujanijutia Kama ni toba zimejaa gunia Ukweli ni kwamba tu umenihurumia Ningekulipa nini kama ungetaka Nilipe jema moja moja Maana hata hii pumzi ninayovuta Hakuna Dollar ingetosha Sina kingine mimi najivunia zaidi yako Baba Ndio maana niko tuli nimetulia...

FAITH MBUGUA HAKUNA MUNGU KAMA WEWE | LYRICS

  Hakuna Mungu Kama wewe Hakuna Mungu Kama wewe Uko juu sana wala kule kuzimu Hakuna mungu kama wewe (Repeat)   Ndiri na ciugo jiganiru Ciakwaria uhoro wa unene waku hindi ndahoya tauria uturaga moyo honania inya waku umuthi   Gutiri ngai ungi tawe Gutiri ngai ungi tawe Iguru mono ona kuria kuriku

MercyLinah - Mwenye Nguvu (Official Video)| LYRICS

  Utendaye mambo makuu yasiyotafutikana Mambo ya ajabu yasiyohesabika Ufanyaye njia jangwani Na mito ya maji nyikani Eeeh Mungu mwaminifu usiyeshindwa   Mwenye Nguvu, Ni wee mwenye mamlaka, ni wee Mwenye uweza, ni wee Ehh Yahwe, ni wee   Ooh Yahwe, Yahwe Oooh Yahwe Twakuheshimu Twakuabudu

RAFIKI MWEMA | Chandelier de Gloire | LYRICS

  Kuna yule aliyenipenda   Si kwa ajili ya mali   Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala, hasizinzii   Hata leo hajawai kunichoka  Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu   Ingawazaje dhambi, makosa yangu  Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini, yeye kanisamehe dhambi Upendo wake, Yesu yeye wanishangaza Yesu, huyu Yesu, Rafiki mwema Yesu, huyu Yesu ninampenda  (Repeat) Yesu Kristo Bwana wangu, ni Rafiki mwema ( x4) Yesu huyu Yesu Rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninampenda  (Reapeat)

Mungu Wetu By Israel Ezekia (Official Video) | LYRICS

Mungu Wetu, Mwenye uweza wote, Tunakuimamia, Mtawala wa Kila kilichopo,  Tunakupa sifa wewe Twa kwabudu Yesu, Twakuinua Yesu, Wema wako, Fadhili zako, Huruma zako, Uweza wako,  Yesu, wee wa pekee

Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video) | LYRICS

  Wewe ni Mungu  Hakuna mwingine wa kuabudiwa  Unastahili sifa zote  Wewe ni Bwana aah  Tunaleta sifa zetu kwako  Maana wewe ndiwe Mungu mkuu  Tunaleta sifa zetu kwako Bwana  Tunaleta sifa zetu kwako  Maana wewe ndiwe Mungu mkuu  Tunaleta sifa zetu kwako Bwana  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Kazi yako ya msalaba  Yanifanya kuwa salama  Usifwe Yahweh  Upendo wako wa milele  Umenifanya niendelee  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Halleluyah Yahweh  Halleluyah Yahweh 

Zoravo - Sina cha kukurudishia (Ahsante) | LYRICS

Sina cha kukurudishia eh Bwana Kwa fadhili zako maishani mwangu Umefanya yaliyo makubwa Wewe ni mwema Wewe ni mwema (repeat)   Ahsante, ahsante, ahsante Kwa fadhili zako (repeat)

Zoravo - Majeshi Ya Malaika (Mtakatifu ni Bwana)-LYRICS

Majeshi Ya Malaika,Yanapaza Sauti Yakisema,  Mtakatifu ni Bwana  Maelfu Kwa Maelfu Tanapaza sauti tukisema,  Mtakatifu ni Bwana Na Sisi Watoto Wako Tanapaza sauti tukisema,  Mtakatifu Ni Bwana Maelfu Kwa Maelfu Tanapaza sauti tukisema,  Mtakatifu ni Bwana  - (Repeat) Ni Bwana  Ni Bwana  Ni Bwana  Mtakatifu ni Bwana - (Repeat)