Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Unawezaa Kufanya

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video )

  Utukuzwe wewe uwezaye kufanya, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo....