Twakutukuza Twakuinua Wewe ni Mungu Wastahili sifa (Fadhili zako) Ni mpya kila siku asubui (Wema wako) Wanizunguka pande zote (Yesu) Wewe ni mwema Wewe ni mwema Nitakuimbia maana umetukuka sana Farasi na mpanda farasi umewatupa baharini Bwana ni guvu zangu, tena wimbo wangu Nitakusifu wewe siku zote Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Mwema aaah ahh ah
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"