Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Kenyan gospel music

Kestin Mbogo ft. Peter Watako | Ni Jina La Yesu | Lyrics

  Ni jina La Yesu Ni jina la Yesu oh Latupa nguvu na mamlaka Latupa nguvu na mamlaka (Repeat) Viwete watembea Viziwi wasikia Vipofu wanaona Wagonjwa wanapona Kwa hilo jina lake Yesu Kwa hilo jina lake Yesu Ni jina La Yesu Ni jina la Yesu oh Latupa nguvu na mamlaka Latupa nguvu na mamlaka (Repeat) Nyororo zinavunjwa Wokovu tunapata Na nguvu tunapewa Mamlaka tunajazwa Kwa hilo jina lake Yesu Kwa hilo jina lake Yesu Ni jina La Yesu Ni jina la Yesu oh Latupa nguvu na mamlaka Latupa nguvu na mamlaka (Repeat) Latupa nguvu na mamlaka Latupa nguvu na mamlaka (Repeat)

AYALA | EUNICE NJERI MUTHII | LYRICS

  Nafsi yangu, zaidi yatamani maskani yako Mungu mwenye enzi Moyo wangu na mwili huu Wakulilia ee Mungu Jua langu, Ngao yangu Wanipa neema na utukufu Hakuna kitu chema Wewe wanyima watafutao uso wako  Kama ayala, aionavyo kiu Ndivyo nafsi yangu yakutamani (Repeat) Naweka moyo kweye hija Bonde la kilio nitapita  Naweka moyo kweye hija Sayuni kwako nisimame (Repeat) Nimekukimbilia, chemichemi ya uzima (Repeat)

REJESHA | Njoki Munyi | LYRICS

Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Iwapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Chorus Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Iwapo safari iwe na giza Utaangaza njia zangu Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Iwapo safari iwe na ukame Wewe ni maji ya uzima Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Chorus Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Refrain Akisema ndio akuna wa kupinga Nitasimama kwa agano lake Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akifungua mlango hakuna atakaye funga Amesema amesema, Hakuna wa kupinga Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikubariki hakuna wakupinga Simama leo kwa hilo neno Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikuponya wewe umepona Simama leo kwa ahadi zake Nimeona aa we...

UTUKUZWE | EUNICE NJERI MUTHII | LYRICS

Baba we ni moto wewe mtakatifu Wewe ndiwe Mungu pekee Tena we sauti ukinena nani apinge Nasema we sauti Ukisema ni ndio na amina  Njia ya uzima, kweli na uhai niwe Baba we ni mot wewe mtakatifu Wewe ndiwe Mungu pekee Nasema we sauti ukinena nani apinge Nasema we sauti Ukisema ni ndio na amina  Njia ya uzima, kweli na uhai niwe Njia ya uzima, kweli na uhai niwe Utukuzwe Bwana, utukuzwe Utuzwe Bwana, milele Sifa zako bado zaenea Bwana utukuzwe Utukuzwe Bwana, utukuzwe Utuzwe Bwana, milele Sifa zako bado zaenea Bwana utukuzwe  Moyo wangu nauegemeza kwako Na macho yangu nakuinulia tena Uhai wangu nimeachilia kwako Baba Wastahili nakusalimu, nakusalimu Yesu Utukuzwe Bwana, utukuzwe Utuzwe Bwana, milele Sifa zako bado zaenea Bwana utukuzwe  Hallelujah eeh, halleluja aah Hallelujah eeh, halleluja aah (Ni kwa nani) Hallelujah eeh, halleluja aah (Ni kwa Yesu) Hallelujah eeh, halleluja aah (Inua kabisa) Hallelujah eeh, halleluja aah Utukuzwe Bwana, utukuzwe Utuzwe Bwana, milel...

Jane Aller | Wastahili (Worthy) | LYRICS

  Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili  Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili  Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili Wastahili, wastahili wastahili mwokozi You are worthy  You are worthy  You are worthy Lamb of God Wagiriire Wageriire,  Wagiriire Mwathani

Utukufu na Heshima | Ali Mukhwana | Lyrics

Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako Ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu Ni wewe usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Haki yako bwana yanitangulia Utukufu wako wanifuata Ni wewe usiyeshindwa Ninayemtegemea ni wewe Ngao yangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Uliyenichagua ni wewe Uzima wangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Anilindaye na mabaya ni wewe Ni wewe bwana aa Ni wewe bwana usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Aliye kama wewe ni nani? Mwenye heshima kama zako ni nani? Mwenye upendo kama wako ? Mwenye neema ? Mwenye kubariki kama wewe? Mwenye kuinua kama wewe? Maamlaka yote hapa duniani Na...