Ni jina La Yesu
Ni jina la Yesu oh
Latupa nguvu na mamlaka
Latupa nguvu na mamlaka (Repeat)
Viwete watembea
Viziwi wasikia
Vipofu wanaona
Wagonjwa wanapona
Kwa hilo jina lake Yesu
Kwa hilo jina lake Yesu
Ni jina La Yesu
Ni jina la Yesu oh
Latupa nguvu na mamlaka
Latupa nguvu na mamlaka (Repeat)
Nyororo zinavunjwa
Wokovu tunapata
Na nguvu tunapewa
Mamlaka tunajazwa
Kwa hilo jina lake Yesu
Kwa hilo jina lake Yesu
Ni jina La Yesu
Ni jina la Yesu oh
Latupa nguvu na mamlaka
Latupa nguvu na mamlaka (Repeat)
Latupa nguvu na mamlaka
Latupa nguvu na mamlaka (Repeat)
Comments
Post a Comment