Tulipo ianza safari,tulikuwa wengi sana
Wengine wamepoteza imani yao,na kurudi nyuma wakafa moyo
Lakini kwa neema na fadhili zako,Ebenezer umeniwezesha
Sitafa Moyo, Ninajua,
Wewe uliniita, Umwaminifu,
Kazi ulioanza, Maishani mwangu,
Nakuamini utaimaliza
Sitafa Moyo, Ninajua,
Wewe uliniita, Umwaminifu,
Kazi ulioanza, Maishani mwangu,
Nakuamini utaimaliza
Umenitoa,mbali sana
Na safari yangu,ni ndefu sana
Milima na mabonde,nimepanda umbali umenileta nimekuona Bwana
Umechukua laana zangu,ili niishi
Umwema na mwaminifu,nakupenda Rabii
Sitafa Moyo, Ninajua,
Wewe uliniita, Umwaminifu,
Kazi ulioanza, Maishani mwangu,
Nakuamini utaimaliza
Sasa roho yangu,nisikize
Sema unazo nguvu,maana anaishi
Usidhani umaskini,sema umepata
Aishie ndani yako, ni mkuu saana
Sitafa Moyo, Ninajua,
Wewe uliniita, Umwaminifu,
Kazi ulioanza, Maishani mwangu,
Nakuamini utaimaliza
Mimi sitahofu,sitakata tamaa
Wewe ulinifia,najua unaishi
Wewe ulichagua,kufa niishi
Uaminifu wako Rabii,hauna kipimo
Sitafa moyo (sitahangaika)
Mi najua,(nakutumainia wewe)wewe uliniita
Umwaminifu(uliyeanza kazi moyoni mwangu)Kazi ulioanza(nakutegemea)
Maishani mwangu(usiye na mwisho)nakuamini utaimaliza(najua umwema)
Sitafa moyo
Ninajua,wewe uliniita
Umwaminifu,Kazi ulioanza
Maishani mwangu,nakuamini utaimaliza
Usiyedharau mwanadamu yeyote
Oooooh oooooh,nakuamini(nakutumainia wewe)
Oooooh oooooh,utaimaliza
Comments
Post a Comment