Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Njoki Munyi

REJESHA | Njoki Munyi | LYRICS

Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Iwapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Chorus Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Iwapo safari iwe na giza Utaangaza njia zangu Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Iwapo safari iwe na ukame Wewe ni maji ya uzima Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami Chorus Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Refrain Akisema ndio akuna wa kupinga Nitasimama kwa agano lake Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akifungua mlango hakuna atakaye funga Amesema amesema, Hakuna wa kupinga Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikubariki hakuna wakupinga Simama leo kwa hilo neno Nimeona aa wema wako Na nguvu zako maishani mwangu Akikuponya wewe umepona Simama leo kwa ahadi zake Nimeona aa we...