Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Ila Yesu

Ila YESU | Henrick Mruma | LYRICS

  Umejawa nazo nguvu Umeketi enzini Jina lako la shangaza,  La stajabisha Yesu (Repeat) Chorus Ila Yesu nimekunyoshea mikono Unatisha, haulinganishiki hata iweje (Repeat) Umetamalaki, umetamalaki, Uko juu sana Ya miungu yote Jina lako halifanani Hali lingani Na miungu mingine (Repeat) Chorus Ila Yesu nimekunyoshea mikono Unatisha, haulinganishiki hata iweje Umetamalaki, umetamalaki, Uko juu sana Ya miungu yote Jina lako halifanani Hali lingani Na miungu mingine (Repeat) Waamamisha milima Wapasua bahari Wafungua vifungo Wafufua wafu Chorus Ila Yesu nimekunyoshea mikono Unatisha, haulinganishiki hata iweje Umetamalaki, umetamalaki, Uko juu sana Ya miungu yote Jina lako halifanani Hali lingani Na miungu mingine (Repeat)