Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Ayala

AYALA | EUNICE NJERI MUTHII | LYRICS

  Nafsi yangu, zaidi yatamani maskani yako Mungu mwenye enzi Moyo wangu na mwili huu Wakulilia ee Mungu Jua langu, Ngao yangu Wanipa neema na utukufu Hakuna kitu chema Wewe wanyima watafutao uso wako  Kama ayala, aionavyo kiu Ndivyo nafsi yangu yakutamani (Repeat) Naweka moyo kweye hija Bonde la kilio nitapita  Naweka moyo kweye hija Sayuni kwako nisimame (Repeat) Nimekukimbilia, chemichemi ya uzima (Repeat)