Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Music

Eve Nyasha Ngoloma Ft Rebekah Dawn | Bila Wewe Siwezi | Lyrics

  Verse 1 Nimeonja wema wako (I've tasted Your godness) Nimeona uzuri wako (I've seen Your beauty) Naamini we ni yule yule (I believe You're still the same) Uliyetenda toka mwanzo (The One who's been faithful from the start) Basi ninakuamini (So I put my trust in You) Hata nikiwa mabondeni (Even in my lowest valleys) Naamini we ni yule yule (I believe You're still the same) Unayetembea nami (Walking beside me) Pre-Chorus Njoo hima uniokoe Bwana (Make haste, come and save me, Lord) Usichelewe niokoe Bwana (Don't delay, rescue me, Lord) Chorus Bila wewe siwezi, Siwezi Bwana (I can't make it without You, I can't, Lord) Pekee yangu siwezi, Siwezi Bwana (Left to myself, I can't make it, I can't, Lord) Bila wewe siwezi, Siwezi Bwana (I can't make it without You, I can't, Lord) Pekee yangu siwezi, Siwezi Bwana (Left to myself, I can't make it, I can't, Lord) Verse 2 Mwenye haki akilia (When the righteous one cries out) Bwana unamsikia (Y...

Monica Gloria - Unajibu | Lyrics

  Verse 1 Unajua haya ya moyo wangu (You know the desire of my heart) Unajua ombi la moyo wangu (You know the prayer of my heart) Unajibu kwa wakati wako (You answer at your time) Unajibu kwa wakati unaofaa (You answer at the right time)*2 Chorus Ahadi zako ni Kweli na Amina (Your promises are Yeh and Amen) Neno lako ni Kweli na Amina (Your word is Yes and Amen) Njia zako ni kweli na Amina (Your ways are true/Yes and Amen) Verse 2 Bwana umetamalaki juu ya dunia na miungu yote (Lord you rule over the world/universe and all gods ) Umeamua Idadi ya nyota na kuzipa zote jina zao (You've determined the number of the stars; you've called them each by name) Maarifa yako hayaeleweki, umesimamisha sayari bila hata nguzo (Your knowledge is beyond comprehension, you've held the planet without any pillar) Ewe Mungu, ewe Mungu wa ajabu (You God*2 , are awesome ) Ewe Mungu, ewe u mkuu (You God*2, Are great) Chorus Ahadi zako ni Kweli na Amina (Your promises are Yeh and Amen) Neno...

Sitasahau | Kestin Mbogo ft. Pst. Emmanuel Mule | LYRICS

  Najirusha chini ya miguu yako, Yesu nasema ahsante, Nimerudi na shukurani kwako, Sawasawa na yale umetenda, Mataifa yote na yaisikie Sauti yangu leo Nitaimba nitasifu nitakiri Sawasawa na yale umetenda Chorus Nakuabudu, Nakutukuza, Nakuinua Pokea sifa wewe ni Mungu Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau Mema umenitendea Bridge Mito: Umenivusha Jangwa: Umenivusha Moto: Umenivusha Sitasahau Mawimbi: Umetuliza Dhoruba: Umetuliza Njia: Katengeneza Sitasahau Neno lako: Umetimiza Ahadi: Umetimiza Njia: Katengeneza Sitasahau Magonjwa: Umeniponya Moyo: Umeniponya Dambi zangu zote: Umesamehe Sitasahau Kibali: Umenivisha Heshima: Umenivisha Wema: Umenivisha Sitasahau Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau, Mema Umenitendea Baba Asante Baba Asante Umenitendea Baba asante(repeat)

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video ) | Lyrics

  Utukuzwe wewe uwezaye kufanya, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo....

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video ) | Lyrics

  Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Amenijibu zaidi ya vile nivyo muomba Nimemuomba Kazi amenipa na ndoa Nimemuomba watoto amenipa na gari Huyu yesu anazidi kuninyeshea mvua ya baraka eh (Chants) Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Nii Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Yeye aliye ia—nzisha safari Ataimaliza,yeye mwenye...