Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Swahili songs

Sitafa Moyo | Paul Mwai | Lyrics

Tulipo ianza safari,tulikuwa wengi sana Wengine wamepoteza imani yao,na kurudi nyuma wakafa moyo Lakini kwa neema na fadhili zako,Ebenezer umeniwezesha Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Umenitoa,mbali sana Na safari yangu,ni ndefu sana Milima na mabonde,nimepanda umbali umenileta nimekuona Bwana Umechukua laana zangu,ili niishi Umwema na mwaminifu,nakupenda Rabii Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Sasa roho yangu,nisikize Sema unazo nguvu,maana anaishi Usidhani umaskini,sema umepata Aishie ndani yako, ni mkuu saana Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Mimi sitahofu,sitakata tamaa Wewe ulinifia,najua unaishi Wewe ulichagua,kufa niishi Uaminifu wako Rabii,hauna kipimo Sitafa moyo (sitahangai...

BAHATI - YAHWEH (Official Video) | Lyrics

Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Inao nyingi shinda, umenipa ushindi Walipoteta Baba, ulisimama nami Baba wakati wa vita, ukaniita mshindi Kwa waisraeli ukaleta maji jangwani Umenibeba ka mtototo, na mama Umetimiza ndototo, za zama Umenibeba ka mtototo, na mama Umetimiza ndototo, zangu za zama Baba Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Kwa hii safari, nifikishe salama Ingawa mitego mingi niondolee njiani Ninapokosa shukrani lawama Baba rehema zako kwangu hazikomi Baba niondolee, nami nikujue kiundani Niondolee kilicho ndani hakikupendezi Niondolee, marafiki wanafiki Niondolee Yesu niondolee Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Umenibeba ka mtototo, na mama Nimetimiza ndototo, za zama Umenibeba ka mtototo, na mama Nimetimiza ndototo, zangu za zama Baba Yahweh, Yahweh eh Muumba wangu, nguvu yangu Yahweh, Yahweh eh Mw...