Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Henrick Mruma songs

Yesu Nakupenda | Henrick Mruma | Lyrics

  Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U mwamba wangu, Dhabiti, imara milele Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu

Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe | Henrick Mruma ft. Clara Minja | Song Lyrics

  Wewe Mungu wa ajabu, Unafanya Maajabu Pale ninaposhindwa Unafanya Mwenyewe   [Repeat]   Zaidi ya fahamu zangu Zaidi ya mawazo yangu Zaidi ya akili yangu Zaidi ya upeo wangu [Repeat}   Uko Mwenyewe Uko Mwenyewe Hakuna wa mfano wako Bwana Uko mwenyewe. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]   (Kama wewe, Kama wewe) Wala hakuna (Kama wewe, Kama wewe) Lakini siwezi kumwona kama wewe. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]   Wa mfano wako Wa uweza wako Wa mfano wako Wa uweza wako. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]