Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Kenyan music.

Jane Aller | Wastahili (Worthy) | LYRICS

  Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili  Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili  Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili Wastahili, wastahili wastahili mwokozi You are worthy  You are worthy  You are worthy Lamb of God Wagiriire Wageriire,  Wagiriire Mwathani

Utukufu na Heshima | Ali Mukhwana | Lyrics

Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako Ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu Ni wewe usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Haki yako bwana yanitangulia Utukufu wako wanifuata Ni wewe usiyeshindwa Ninayemtegemea ni wewe Ngao yangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Uliyenichagua ni wewe Uzima wangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Anilindaye na mabaya ni wewe Ni wewe bwana aa Ni wewe bwana usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Aliye kama wewe ni nani? Mwenye heshima kama zako ni nani? Mwenye upendo kama wako ? Mwenye neema ? Mwenye kubariki kama wewe? Mwenye kuinua kama wewe? Maamlaka yote hapa duniani Na...