Skip to main content

Posts

Showing posts with the label AfroGospel

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video )

  Utukuzwe wewe uwezaye kufanya, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo....

Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video) | Song Lyrics

Oh Baba Olodumare, My one and the only, The giver of Life, Equal to none  Hapa nasimama cos uko na mimi You never let me go Mipaka yangu umeitanulia mbali Even sky sio limit kwa hii kibali Hata haters wanashangilia  Kwa ndani umewa‘win’ hao! Sina kingine mimi najivunia zaidi yako Baba Ndio maana niko tuli nimetulia, we hunaga baya Hata wale wananionea husuda shabaha yao mbaya Watanipataje Mwamba umenifunika Bure wata‘tire’ Cos I know you You got me wey You got me You got me wey You got me Papa You got me wey You got me That’s why I never, never, never fall down You got me wey You got me You got me wey You got me Papa You got me wey You got me That’s why I never, never, never fall down Nikiteleza Baba unaniinua Hujanitupa wala hujanijutia Kama ni toba zimejaa gunia Ukweli ni kwamba tu umenihurumia Ningekulipa nini kama ungetaka Nilipe jema moja moja Maana hata hii pumzi ninayovuta Hakuna Dollar ingetosha Sina kingine mimi najivunia zaidi yako Baba Ndio maana niko tuli nimetulia...