Skip to main content

Paul Clement - Unaweza Yesu ( Official Video ) | Lyrics

 


Utukuzwe wewe uwezaye kufanya,

Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyaombayo, Unaweza Yesu. Utukuzwe wewe uwezaye kutenda, Mambo ya ajabu mno Bwana. Kuliko yote tuyawazayo, Unaweza Yesu...×2 CHORUS Unaweza kufanya, Unaweza kutenda, Yaliyo makubwa, Unaweza Yesu.×2 Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 VERSE 1 Ibrahimu na Sarah walijua, Hawawezi kupata mtoto tena, Lakini Mungu ukawashangaza, Zaidi ya walivyowaza. Lazaro alikufa, akaoza kabisa, Siku nne alilala kaburini Lakini Yesu ukamfufua Lazaro akawa hai tena. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo...(Iyee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 Verse 2 Nani alijua kama ungefanya njia, Katikati ya bahari ya shamu, Umeishangaza dunia, Hakuna linalokushinda. Nani alijua ile mifupa mikavu, Inaweza kuwa hai tena, Kwa pumzi ya uhai wako, Mifupa ikawa jeshi kubwa. BRIDGE. Zaidi ya... (Iyeee) Tuombayo...(Iyeee) Zaidi ya... (Iyeee) Tuwazayo....(Iyeee) Unaweza kufanya Unaweza Yesu CHORUS Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu ×2 CLOSING VERSE. Utukuzwe wewe uwezaye kufanya Mambo ya ajabu mno Bwana Kuliko yote tuyaombayo Unaweza Yesu Utukuzwe wewe uwezaye kutenda Mambo ya ajabu mno Bwana Kuliko yote tuyawazayo Unaweza Yesu Unaweza kufanya Unaweza kutenda Yaliyo makubwa Unaweza Yesu

Comments

Popular posts from this blog

KARURA VOICES - USIKUBALI | LYRICS

Nitaishi aje kama mtu Asiyekujuwa Usikubali Na wakati wangu ukifika Uniite nyumbani Kama hodari Na shetani akiomba ruhusa Aniangamize Usikubali Na shetani akiomba ruhusa Anikandamize Usikubali Chorus Usikubali Usikubali Siogopi kifo Naogopa kufa na sikujui Siogopi moto Sio wangu moto ni wa aadui Nimependwa na Baba Baba ah Alinifia Mwana Mwana ah Nimejazwa na Roho Roho oh Baba, Mwana, Roho

Sitasahau | Kestin Mbogo ft. Pst. Emmanuel Mule | LYRICS

  Najirusha chini ya miguu yako, Yesu nasema ahsante, Nimerudi na shukurani kwako, Sawasawa na yale umetenda, Mataifa yote na yaisikie Sauti yangu leo Nitaimba nitasifu nitakiri Sawasawa na yale umetenda Chorus Nakuabudu, Nakutukuza, Nakuinua Pokea sifa wewe ni Mungu Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau Mema umenitendea Bridge Mito: Umenivusha Jangwa: Umenivusha Moto: Umenivusha Sitasahau Mawimbi: Umetuliza Dhoruba: Umetuliza Njia: Katengeneza Sitasahau Neno lako: Umetimiza Ahadi: Umetimiza Njia: Katengeneza Sitasahau Magonjwa: Umeniponya Moyo: Umeniponya Dambi zangu zote: Umesamehe Sitasahau Kibali: Umenivisha Heshima: Umenivisha Wema: Umenivisha Sitasahau Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau, Mema Umenitendea Baba Asante Baba Asante Umenitendea Baba asante(repeat)

Jane Aller | Wastahili (Worthy) | LYRICS

  Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili  Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili  Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili Wastahili, wastahili wastahili mwokozi You are worthy  You are worthy  You are worthy Lamb of God Wagiriire Wageriire,  Wagiriire Mwathani