Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Inao nyingi shinda, umenipa ushindi Walipoteta Baba, ulisimama nami Baba wakati wa vita, ukaniita mshindi Kwa waisraeli ukaleta maji jangwani Umenibeba ka mtototo, na mama Umetimiza ndototo, za zama Umenibeba ka mtototo, na mama Umetimiza ndototo, zangu za zama Baba Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Kwa hii safari, nifikishe salama Ingawa mitego mingi niondolee njiani Ninapokosa shukrani lawama Baba rehema zako kwangu hazikomi Baba niondolee, nami nikujue kiundani Niondolee kilicho ndani hakikupendezi Niondolee, marafiki wanafiki Niondolee Yesu niondolee Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, we ni Mungu wangu Yahweh, Yahweh eh Mwamba wangu, nguvu yangu Umenibeba ka mtototo, na mama Nimetimiza ndototo, za zama Umenibeba ka mtototo, na mama Nimetimiza ndototo, zangu za zama Baba Yahweh, Yahweh eh Muumba wangu, nguvu yangu Yahweh, Yahweh eh Mw...
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"