Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, we ni Mungu wangu
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, nguvu yangu
Inao nyingi shinda, umenipa ushindi
Walipoteta Baba, ulisimama nami
Baba wakati wa vita, ukaniita mshindi
Kwa waisraeli ukaleta maji jangwani
Umenibeba ka mtototo, na mama
Umetimiza ndototo, za zama
Umenibeba ka mtototo, na mama
Umetimiza ndototo, zangu za zama Baba
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, we ni Mungu wangu
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, nguvu yangu
Kwa hii safari, nifikishe salama
Ingawa mitego mingi niondolee njiani
Ninapokosa shukrani lawama
Baba rehema zako kwangu hazikomi
Baba niondolee, nami nikujue kiundani
Niondolee kilicho ndani hakikupendezi
Niondolee, marafiki wanafiki
Niondolee Yesu niondolee
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, we ni Mungu wangu
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, nguvu yangu
Umenibeba ka mtototo, na mama
Nimetimiza ndototo, za zama
Umenibeba ka mtototo, na mama
Nimetimiza ndototo, zangu za zama Baba
Yahweh, Yahweh eh
Muumba wangu, nguvu yangu
Yahweh, Yahweh eh
Mwamba wangu, we ni Mungu wangu
Comments
Post a Comment