Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Kuna yule aliyenipenda

RAFIKI MWEMA | Chandelier de Gloire | LYRICS

  Kuna yule aliyenipenda   Si kwa ajili ya mali   Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala, hasizinzii   Hata leo hajawai kunichoka  Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu   Ingawazaje dhambi, makosa yangu  Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini, yeye kanisamehe dhambi Upendo wake, Yesu yeye wanishangaza Yesu, huyu Yesu, Rafiki mwema Yesu, huyu Yesu ninampenda  (Repeat) Yesu Kristo Bwana wangu, ni Rafiki mwema ( x4) Yesu huyu Yesu Rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninampenda  (Reapeat)