Nafsi yangu, zaidi yatamani maskani yako Mungu mwenye enzi Moyo wangu na mwili huu Wakulilia ee Mungu Jua langu, Ngao yangu Wanipa neema na utukufu Hakuna kitu chema Wewe wanyima watafutao uso wako Kama ayala, aionavyo kiu Ndivyo nafsi yangu yakutamani (Repeat) Naweka moyo kweye hija Bonde la kilio nitapita Naweka moyo kweye hija Sayuni kwako nisimame (Repeat) Nimekukimbilia, chemichemi ya uzima (Repeat)
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"