Nafsi yangu, zaidi yatamani maskani yako
Mungu mwenye enzi
Moyo wangu na mwili huu
Wakulilia ee Mungu
Jua langu, Ngao yangu
Wanipa neema na utukufu
Hakuna kitu chema
Wewe wanyima watafutao uso wako
Kama ayala, aionavyo kiu
Ndivyo nafsi yangu yakutamani (Repeat)
Naweka moyo kweye hija
Bonde la kilio nitapita
Naweka moyo kweye hija
Sayuni kwako nisimame (Repeat)
Nimekukimbilia, chemichemi ya uzima (Repeat)
Comments
Post a Comment