Malaika wakuabudu, Wewe wastahili Maserafi na makerubi, Wakusujudu Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili Wastahili, wastahili wastahili mwokozi You are worthy You are worthy You are worthy Lamb of God Wagiriire Wageriire, Wagiriire Mwathani
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"