Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Congo music

Israel Mbonyi | Malengo ya Mungu | Lyrics

  Atakaye kuwa na wema Ahitajie kuheshimiwa Basi aende ayatafute kwa kutenda mema bila kusita Asiyajali macho ya watu Maana yao sio muhimu Bali ajali jina nimuitalo Kwani mi ni Mungu aliyemuumba Chorus Ninayajua yangu malengo Ni mema sio mabaya Ili niwape matumaini ya siku zijazo Nawapenda Wambieni wenye huzuni Tulizeni wenye majelaha Wambieni waje waone Tuna Mungu mwingi wa upendo Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa Katuosha na kutusafisha Akatuahidi uzima wa milele Verse 2 Simameni kwenye mnara, usubiri ntakacho kisema Zizuieni sauti za muovu Na upende kuwa mwenye haki Nenda omba tena uombe Tofautisha kuomba kwako, Maana hapo nitakuokoa Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako

Paul Clement Ft Victor Maestro - Baraka (Official Video ) | Lyrics

  Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Huyu ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Amenijibu zaidi ya vile nivyo muomba Nimemuomba Kazi amenipa na ndoa Nimemuomba watoto amenipa na gari Huyu yesu anazidi kuninyeshea mvua ya baraka eh (Chants) Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Nii Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni Mungu, ni Mungu, ni Mungu wa Baraka Yeye aliye ia—nzisha safari Ataimaliza,yeye mwenye...