Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Pst. Emmanuel Mule

Sitasahau | Kestin Mbogo ft. Pst. Emmanuel Mule | LYRICS

  Najirusha chini ya miguu yako, Yesu nasema ahsante, Nimerudi na shukurani kwako, Sawasawa na yale umetenda, Mataifa yote na yaisikie Sauti yangu leo Nitaimba nitasifu nitakiri Sawasawa na yale umetenda Chorus Nakuabudu, Nakutukuza, Nakuinua Pokea sifa wewe ni Mungu Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau Mema umenitendea Bridge Mito: Umenivusha Jangwa: Umenivusha Moto: Umenivusha Sitasahau Mawimbi: Umetuliza Dhoruba: Umetuliza Njia: Katengeneza Sitasahau Neno lako: Umetimiza Ahadi: Umetimiza Njia: Katengeneza Sitasahau Magonjwa: Umeniponya Moyo: Umeniponya Dambi zangu zote: Umesamehe Sitasahau Kibali: Umenivisha Heshima: Umenivisha Wema: Umenivisha Sitasahau Refrain Sitasahau, Sitasahau, Siwezisahau, Mema Umenitendea Baba Asante Baba Asante Umenitendea Baba asante(repeat)