Najirusha chini ya miguu yako,
Yesu nasema ahsante,
Nimerudi na shukurani kwako,
Sawasawa na yale umetenda,
Mataifa yote na yaisikie
Sauti yangu leo
Nitaimba nitasifu nitakiri
Sawasawa na yale umetenda
Chorus
Nakuabudu, Nakutukuza,
Nakuinua
Pokea sifa wewe ni Mungu
Refrain
Sitasahau,
Sitasahau,
Siwezisahau
Mema umenitendea
Bridge
Mito: Umenivusha
Jangwa: Umenivusha
Moto: Umenivusha
Sitasahau
Mawimbi: Umetuliza
Dhoruba: Umetuliza
Njia: Katengeneza
Sitasahau
Neno lako: Umetimiza
Ahadi: Umetimiza
Njia: Katengeneza
Sitasahau
Magonjwa: Umeniponya
Moyo: Umeniponya
Dambi zangu zote: Umesamehe
Sitasahau
Kibali: Umenivisha
Heshima: Umenivisha
Wema: Umenivisha
Sitasahau
Refrain
Sitasahau,
Sitasahau,
Siwezisahau,
Mema Umenitendea
Baba Asante
Baba Asante
Umenitendea
Baba asante(repeat)
Comments
Post a Comment