Skip to main content

Posts

Showing posts with the label swahili worship songs

Moyo | Eliya Mwantondo ft Paul Seleli | Lyrics

Naomba Uniguze Bwana Naomba Uniguze Bwana Guza moyo wangu Guza moyo wangu Naomba Uniguze Bwana Naomba Uniguze Bwana Guza moyo wangu Guza moyo wangu Naomba uniponye Bwana Naomba uniponye Bwana Ponya moyo wangu Ponya moyo wangu Naomba uniponye Bwana Naomba uniponye Bwana Ponya moyo wangu Ponya moyo wangu Naomba Uniguze Bwana Naomba Uniguze Bwana Guza moyo wangu Guza moyo wangu Naomba unigange Bwana Naomba unigange Bwana Ganga moyo wangu Ganga moyo wangu Naomba Uniguze Bwana Naomba Uniguze Bwana Guza moyo wangu Guza moyo wangu Yesu wee eeh ewe Yesu wee eeh ewe Guza moyo wangu Guza moyo wangu Yesu wee eeh ewe Yesu wee eeh ewe Ponya moyo wangu Ponya moyo wangu Yesu wee eeh ewe Yesu wee eeh ewe Ponya moyo wangu Ponya moyo wangu Yesu wee eeh ewe Yesu wee eeh ewe Ponya moyo wangu Ponya moyo wangu Moyo wangu, Moyo wangu Nataka Nikuabudu wewe Yesu Moyo wangu Moyo wangu, Moyo wangu Nataka ukuabudu wewe Yesu Moyo wangu Moyo wangu, Moyo wangu Nataka ukuabudu wewe Yesu Moyo wangu Maisha yangu, Maish...

Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe | Henrick Mruma ft. Clara Minja | Song Lyrics

  Wewe Mungu wa ajabu, Unafanya Maajabu Pale ninaposhindwa Unafanya Mwenyewe   [Repeat]   Zaidi ya fahamu zangu Zaidi ya mawazo yangu Zaidi ya akili yangu Zaidi ya upeo wangu [Repeat}   Uko Mwenyewe Uko Mwenyewe Hakuna wa mfano wako Bwana Uko mwenyewe. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]   (Kama wewe, Kama wewe) Wala hakuna (Kama wewe, Kama wewe) Lakini siwezi kumwona kama wewe. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]   Wa mfano wako Wa uweza wako Wa mfano wako Wa uweza wako. [Repeat]   Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]            

Utukufu na Heshima | Ali Mukhwana | Lyrics

  Utukufu na heshima Bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima Bwana Ni zako Yahweh Ni zako usiyeshindwa Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako Ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu Ni wewe usiyeshindwa   Haki yako Bwana yanitangulia Utukufu wako wanifuata Ni wewe usiyeshindwa Ninayemtegemea ni wewe Ngao yangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Uliyenichagua ni wewe Uzima wangu ni wewe Ni wewe usiyeshindwa Anilindaye kwa mabaya ni wewe Ni wewe Bwana Ni wewe Bwana usiyeshindwa Aliye kama wewe ni nani? Mwenye heshima kama zako ni nani? Mwenye upendo kama wako ? Mwenye neema ? Mwenye kubariki kama wewe? Mwenye kuinua kama wewe?   Maamlaka yote hapa duniani Na kule mbinguni Ni yako usiyeshindwa

HAKUNA USILOWEZA | LYRICS - JACKIE M. OBIERO

  Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Nakwabudu kwa Roho Naye Roho anipa ufahamu Kwamba wewe ni mungu Ushindwi na lolote Wewe ni Mungu wa vyote   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Waonyesha rehema kwa yule upendaye, Sio kwa nguvu, mamlaka, ila kwa Roho wako tu, Ni rehema yako kwa mwanadamu kumfanyia mema Ni rehema yako tu, kwa mwanadamu wee kumfanyia mema Ni rehema, rehema, rehema yako, watufanyia mema Ah ukipendezwa, pendezwa wewe wa angaza njia zetu uu Mungu mkubwa, Mungu mkubwa eh Haku-u-una   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza

MercyLinah - Mwenye Nguvu (Official Video)| LYRICS

  Utendaye mambo makuu yasiyotafutikana Mambo ya ajabu yasiyohesabika Ufanyaye njia jangwani Na mito ya maji nyikani Eeeh Mungu mwaminifu usiyeshindwa   Mwenye Nguvu, Ni wee mwenye mamlaka, ni wee Mwenye uweza, ni wee Ehh Yahwe, ni wee   Ooh Yahwe, Yahwe Oooh Yahwe Twakuheshimu Twakuabudu