Umejawa nazo nguvu
Umeketi enzini
Jina lako la shangaza,
La stajabisha Yesu (Repeat)
Chorus
Ila Yesu nimekunyoshea mikono
Unatisha, haulinganishiki hata iweje (Repeat)
Umetamalaki, umetamalaki,
Uko juu sana
Ya miungu yote
Jina lako halifanani
Hali lingani
Na miungu mingine (Repeat)
Chorus
Ila Yesu nimekunyoshea mikono
Unatisha, haulinganishiki hata iweje
Umetamalaki, umetamalaki,
Uko juu sana
Ya miungu yote
Jina lako halifanani
Hali lingani
Na miungu mingine (Repeat)
Waamamisha milima
Wapasua bahari
Wafungua vifungo
Wafufua wafu
Chorus
Ila Yesu nimekunyoshea mikono
Unatisha, haulinganishiki hata iweje
Umetamalaki, umetamalaki,
Uko juu sana
Ya miungu yote
Jina lako halifanani
Hali lingani
Na miungu mingine (Repeat)
Comments
Post a Comment