Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2023

HAKUNA USILOWEZA | LYRICS - JACKIE M. OBIERO

  Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Nakwabudu kwa Roho Naye Roho anipa ufahamu Kwamba wewe ni mungu Ushindwi na lolote Wewe ni Mungu wa vyote   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Waonyesha rehema kwa yule upendaye, Sio kwa nguvu, mamlaka, ila kwa Roho wako tu, Ni rehema yako kwa mwanadamu kumfanyia mema Ni rehema yako tu, kwa mwanadamu wee kumfanyia mema Ni rehema, rehema, rehema yako, watufanyia mema Ah ukipendezwa, pendezwa wewe wa angaza njia zetu uu Mungu mkubwa, Mungu mkubwa eh Haku-u-una   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza   Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza