Wewe Mungu wa ajabu, Unafanya Maajabu Pale ninaposhindwa Unafanya Mwenyewe [Repeat] Zaidi ya fahamu zangu Zaidi ya mawazo yangu Zaidi ya akili yangu Zaidi ya upeo wangu [Repeat} Uko Mwenyewe Uko Mwenyewe Hakuna wa mfano wako Bwana Uko mwenyewe. [Repeat] Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat] (Kama wewe, Kama wewe) Wala hakuna (Kama wewe, Kama wewe) Lakini siwezi kumwona kama wewe. [Repeat] Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat] Wa mfano wako Wa uweza wako Wa mfano wako Wa uweza wako. [Repeat] Tazama naenda mbele, wala Hakuna Narudi nyuma tena, Lakini siwezi kumwona kama Wewe. [Repeat]
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"