Majeshi Ya Malaika,Yanapaza Sauti Yakisema,
Mtakatifu ni Bwana
Maelfu Kwa Maelfu Tanapaza sauti tukisema,
Mtakatifu ni Bwana
Na Sisi Watoto Wako Tanapaza sauti tukisema,
Mtakatifu Ni Bwana
Maelfu Kwa Maelfu Tanapaza sauti tukisema,
Mtakatifu ni Bwana - (Repeat)
Ni Bwana
Ni Bwana
Ni Bwana
Mtakatifu ni Bwana - (Repeat)
Comments
Post a Comment