Skip to main content

Posts

Showing posts from October, 2024

Your Glory | Angel Benard and Paul Clement | Lyrics

We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona utukufu Tumeona nguvu zako Tunakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Tunakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Twakuinua Utukufu wote ni wako We’ve seen your Glory We’ve seen your Power We lift You higher All the glory belongs to You Tumeona nguvu zako Tumeona utukufu wako Twakuinua Utukufu wote ni wako You made a way  Where there seems to be no way We lift You higher  All the glory belongs to You Lord, you broke the chain I couldn't do it by myself We lift You higher  All the glory belongs to You See what you've done You gave meaning to my life We lift You higher  All the glory belongs to You Unakwenda na mimi Yesu Hatua hatua m...

Yesu Nakupenda | Henrick Mruma | Lyrics

  Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U mwamba wangu, Dhabiti, imara milele Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yesu Yesu nakupenda U Mwamba wangu, Dhabiti, imara, milele Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Yale umetenda kwangu Sijaweza kuhesabu Oh o nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu Nakupenda Yesu We Mwamba wangu

Sitafa Moyo | Paul Mwai | Lyrics

Tulipo ianza safari,tulikuwa wengi sana Wengine wamepoteza imani yao,na kurudi nyuma wakafa moyo Lakini kwa neema na fadhili zako,Ebenezer umeniwezesha Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Umenitoa,mbali sana Na safari yangu,ni ndefu sana Milima na mabonde,nimepanda umbali umenileta nimekuona Bwana Umechukua laana zangu,ili niishi Umwema na mwaminifu,nakupenda Rabii Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Sasa roho yangu,nisikize Sema unazo nguvu,maana anaishi Usidhani umaskini,sema umepata Aishie ndani yako, ni mkuu saana Sitafa Moyo, Ninajua, Wewe uliniita, Umwaminifu, Kazi ulioanza, Maishani mwangu, Nakuamini utaimaliza Mimi sitahofu,sitakata tamaa Wewe ulinifia,najua unaishi Wewe ulichagua,kufa niishi Uaminifu wako Rabii,hauna kipimo Sitafa moyo (sitahangai...

Neema Gospel Choir - Victory Declaration (Live Music Video)

  Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumesimama juu ya mwamba Kamwe hatutatikisika Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Tumekimbilia kwake Tumesitirika kwake Katukumbatia kwa mbawa zake Hatuna shaka Ndani ya Yesu tuko salama Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Ni yake haya mapenzi mema Ni yake hii nyingi neema Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwetu Ameifanya kweli Ahadi yake Imetimia kwe...