Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2023

RAFIKI MWEMA | Chandelier de Gloire | LYRICS

  Kuna yule aliyenipenda   Si kwa ajili ya mali   Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala, hasizinzii   Hata leo hajawai kunichoka  Sikumtafuta, ni yeye aliyekuja kwangu   Ingawazaje dhambi, makosa yangu  Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini, yeye kanisamehe dhambi Upendo wake, Yesu yeye wanishangaza Yesu, huyu Yesu, Rafiki mwema Yesu, huyu Yesu ninampenda  (Repeat) Yesu Kristo Bwana wangu, ni Rafiki mwema ( x4) Yesu huyu Yesu Rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninampenda  (Reapeat)

Mungu Wetu By Israel Ezekia (Official Video) | LYRICS

Mungu Wetu, Mwenye uweza wote, Tunakuimamia, Mtawala wa Kila kilichopo,  Tunakupa sifa wewe Twa kwabudu Yesu, Twakuinua Yesu, Wema wako, Fadhili zako, Huruma zako, Uweza wako,  Yesu, wee wa pekee

Essence of Worship - Tunaleta Sifa (Official Music Video) | LYRICS

  Wewe ni Mungu  Hakuna mwingine wa kuabudiwa  Unastahili sifa zote  Wewe ni Bwana aah  Tunaleta sifa zetu kwako  Maana wewe ndiwe Mungu mkuu  Tunaleta sifa zetu kwako Bwana  Tunaleta sifa zetu kwako  Maana wewe ndiwe Mungu mkuu  Tunaleta sifa zetu kwako Bwana  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Kazi yako ya msalaba  Yanifanya kuwa salama  Usifwe Yahweh  Upendo wako wa milele  Umenifanya niendelee  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Usifiwe Yahweh  Halleluyah Yahweh  Halleluyah Yahweh 

Zoravo - Sina cha kukurudishia (Ahsante) | LYRICS

Sina cha kukurudishia eh Bwana Kwa fadhili zako maishani mwangu Umefanya yaliyo makubwa Wewe ni mwema Wewe ni mwema (repeat)   Ahsante, ahsante, ahsante Kwa fadhili zako (repeat)