Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Nakwabudu kwa Roho Naye Roho anipa ufahamu Kwamba wewe ni mungu Ushindwi na lolote Wewe ni Mungu wa vyote Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Waonyesha rehema kwa yule upendaye, Sio kwa nguvu, mamlaka, ila kwa Roho wako tu, Ni rehema yako kwa mwanadamu kumfanyia mema Ni rehema yako tu, kwa mwanadamu wee kumfanyia mema Ni rehema, rehema, rehema yako, watufanyia mema Ah ukipendezwa, pendezwa wewe wa angaza njia zetu uu Mungu mkubwa, Mungu mkubwa eh Haku-u-una Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza Hakuna usiloweza, Hakuna usiloweza
"Find inspiration in every verse - Your go-to destination for Christian music lyrics"